Saturday, March 12, 2011

BIG CROSS




Jana asubuhi jamaa alikuja akiwa na wazo lakutupia CROSS kubwa mgongoni kama kawaida BONGO INK ilimtengeneza kama unavyoiona hapo

MAORI TRIBAL;











Mida ya mchana hivi alikuja jamaa mmoj a akiwa na tattoo yake mkononi na akataka kuipimp Bongo Ink ikafanya mambo yake na matokeo ndo haya hapo

Thursday, February 10, 2011

ANGEL AKIWA AMELALIA KABURI




In loveing memory of his Mam and Dad jamaa alikuja na wazo la kuweka kifuani malaika ikiwa amelalia Kaburi na bila shaka Fahmy Tattoo Artst akasit nakutengeneza kitu hichooooo mkionacho

Monday, February 7, 2011

SHOT SLIV TRIBAL WITH NAME AND KNIVE IN SIDE
















Jamaa alikuja na wazo lake lakuweka Kisu Jina na Tribal kwa mkono na kilichofanyika ni hiki.Fahmy Abdul Omary Tattoo Artst wa BONGO INK aliitengeneza kazi kama mnavyomuona hapo akifanya hendfree na kuhakikisha kitu kinatoka poa zaidi......

CHANISE WORD




Small chanise word kwa kifua

BEFORE AND AFTER
















Jana midamida ya mchana hivi alitokea mwanadada mmoja hivi kutoka pande za AIRPOT na alikuja na lengo lakuitoa Tattoo yake(kuibadilisha)na kilichofanyika ni hiki niliimalizia kwa kuiwekea dawa kama kawaida

MORE CROSSES






Bongo Ink inazidi kutoa vitu adim kama unavyoona hapo

Friday, January 21, 2011

ROSE WITH WIRE





kama mnavyoiona hapo bado kitu kibichiiiiiiiiiiiii

IN LOVING MEMORY OF SAME 1




Kwa mtu aliekua anaumuhim sana kwako unaweza tupia chochote au ata maandishi yakisimamisha LOVE AND RESPECT kwake Bongo Ink z 4 you all,jamaa aliweka kumbukumbu chini ya ubavu wake karibu kabisa na MOYO kwa upendo wa PAPS wake,BROTHER MAY UR PAPS REST IN PC PAMOJA SANA

TRIBAL TATTOO




Jamaa alitimba na kama mnavyojua Bongo Ink hufanya kazi za ajabu kama mnavyoona hapo kazi ilimalizika kwa ukali kupita maelezo

Thursday, January 20, 2011

MORE BEAUTIFUL STARS OL OVER











Bongo Ink inazidi kupendezesha kwa michoro inayovutia kupita maelezo huu ni mchoro wa mwanadada fluni hivi kutoka pande za huko MBALIMBALI abaye alikuja na wazo lake la kuweka starz kadhaa katika ubavu wake kama unavyoziona hapo juu,bila zengwee mwanadada huyu alifurahia kazi na kurudi tena na kuongeza starz zingine maeneo hayohayo na kamchoro flani hivi mkononi,nazidi kuwakaribisha wa TZZZ wote KARIBINI SANA wote na mpate mchoro mzuri ambao mtaipenda kwa maisha yenu yote WE DO SAFE WORKS AND QUALITY ONES KARIBUNI SANA

Thursday, October 21, 2010

LOVE AND STARZZ ZIMEZIDI KUWA HEAD LINE


Gallzzz wakibongo wanazidi kupagawa na michoro ya Bongo Ink kila mtu anatimba na wazo lake na kama kawaida wazeiiyah tunawarekebisha bila uwoga wakali au sio,tunazidi kuwakaribisha Bongo Ink wakali KARIBUNI SANA......

Wednesday, October 20, 2010

MORE AND MUCH DIZAIZZZZ 4 GALZZZ







Jana mida ya jioni flani hivi nilitembelewa na mwanadada kutoka pande za hukooooooooo Tegeta(mbezi)alikuja na wazo lake la kujiporomoshea kitu cha ajabu na kama kawaida nilikaa chini na kutengeneza kitu hicho hapo juu,hiyo bana haikutumia mida wazeiya ilitumia kama lisaa hivi......galzz BONGO INK IPO KWAAJILI YENU TIMBENI KWA PALL MPATE VITU ROHO YAPENDA. AU VIPI?

TRIBAL JESUS




kama mnavyoona kazi hiyo hapo ilitumia kama masaa mawili hivi kuimaliza na kitu hapo ngo kimetoka kupachiwa kinameremeta ka sio kung'aaaaaaaaaaaaa sana.......NO STROMO WAZEIYAAH WA BONGO INK KAMA KAWAIDA MAPAMBANO YANAZIDI KUENGELEA NA TUTAZIKI KUKAZA PC ........