Dj Choka jana alitinga pande za UVC kukutana na Bongo Ink. Jamaa aliondoka na souvenir ya michoro kadhaa ya ukweli ambayo aliikubali sana. Hapa namnukuu "Aisee man, mchoro umetoka bomba sana ila maumivu si mchezo". Ndio ukubwa huo Choka. NO PAIN, NO GAIN. Cheki mpango mzima ulivyokuwa:
Du Mwana Mbona Kama unakamuliwa jipu!
ReplyDeletethat was great man!but i got a question,can u erase these tattoos when Ur tired of them?
ReplyDelete