Thursday, July 29, 2010

BONGO INK NDANI YA ARUSHA

Wakazi wa Arusha mpo tayariiiiiiiiiii?Bongo Ink jumamosi 31/07/2010 hii watakua Arusha na watakua kikazi zaidi kama kawa Fahmy Tattoo Artst atakuja na mikoba yake yote....kama vipi cheak na +255718202064 kwa maelezo zaidi..

No comments:

Post a Comment