
Mmoja kati ya kichwa cha Bongo Ink,Mnyama Jaddo F Baib ,hapo nilimfuma akijipendelea mvinyo,jamaa nimkali wa Free style Bongo pia ni mwandishi mzuri wa movies,jamaa kageuka juzi tu kutoka pande za mavuvuzela South Africa,jamaa atakuwa akiwapa flava za mafree style kila mwisho wa wiki kupitia Blog hii ya Bongo Ink katika kipengele cha B I flava.....
No comments:
Post a Comment