Monday, July 19, 2010

Tuombe


Jana mishale ya jioni flani hivi nilitimbiwa na Shori kutoka pande za BOT, Baby kama kawaida alitimba kujidondoshea kitu cha nikomo ya sala mgongoni kama unavyoona hapo kitu kinavyongara kama kimepakazwa wese kinan'gaaaaaaaaa....... na hapo ilikua bado aijakamilika

No comments:

Post a Comment