Sunday, August 8, 2010

NUSU KIFO




Tulipo karibia KWADIKWAZU(kabubu)tulinusurika na ajali mbaya sana,Tairi ya nyuma ilibust na kuchomoka kabisaaa,kama mnavyoiona hapo,bila umakini wa Dereva ilikua tuagieni jamani dah..

No comments:

Post a Comment