
Wote tulishuka tukasubiri Mafundi wafanye kazi yao,aseeee sehemu yenyewe hapakua na ata kibanda cha kununua maji watu lalibanwa sana na ubao wenye makombo waliendelea kujipendelea kama unanyowaona hapo,na wenzangu na mimi tukakomaa ha ha ha ha ha ha .......
No comments:
Post a Comment