Tuesday, February 9, 2010

Bongo Ink ndani ya Planet Bongo
















Ya man. Bongo Ink tulipata nafasi ya kuuza nyago ndani ya kipindi cha planet Bongo nasi bila hiyana tulikamua kupita maelezo. shukrani zetu za dhati kwa Jay Joe na Mary Mary waliokuwa nasi bega kwa bega kuhakikisha kipindi kinatoka bomba ile mbaya

No comments:

Post a Comment