




Hii ni mashine ya kwanza kabisa ya kuchora inayotumia umeme na ilivumbuliwa na Samuel O'Reilly mwaka 1891. Hii ina uwezo wa kuingia kwenye ngozi mpaka mara 3000 kwa dakika moja na huingia ndani ya ngozi kwa inchi 1/8. Michoro yake si bora sana kama Guns za kisasa. Bongo Ink huwa tunaitumia kwa wale wasioweza kumudu gharama za mshine ya kisasa
No comments:
Post a Comment