Friday, February 19, 2010

Kazi recent za Bongo Ink





Wiki hii tulitembelewa na jamaa yetu Alex kutoka Moshi aliyekuja Bongo specifically kufanya kazi na Bongo Ink. Matokeo ndio kama hayo juu. And by the way, Mary looked so good in the Playboy bunny we had to put her in as well

No comments:

Post a Comment