Monday, February 8, 2010

Ujio wa Gun mpya ya kuchorea


Huyu ni mmoja wa wachoraji wa Bongo Ink. Yeye anaitwa Fahmi na aliye responsible kwenye uchoraji kwa asilimia kubwa. Siku hiyo meno thelathini na nje yote yalikuwa mbili baada ya kukiona kitu cha dragon machine

No comments:

Post a Comment