
Mmoja kati ya jamaa wa karibu sana na mdau kamili wa Bongo Ink Baraka,nilimtembelea ofisini kwake na jamaa nilipiganae story mbili tatu hivi kuhusu B I FLAVA,jama nilimshangaa akipandisha mzuka wa kuchana na matokeo ndo hayo hapo juu jamaa...jamaa upo Tongwe Records anangoma kazaa amazo soon mtazisikia hewani
No comments:
Post a Comment