Wednesday, July 21, 2010


Kama kawaida nitakua nawamegea mambo yanayojiri A.A.A Barber Shop,jana midamida flani hivi kigozi alitembelewa na Mina kutoka pande za Mbezi Beach kama kawaida alipikwa na jamaa kwakuporomoshewa KIJOGOO kimmoja matata sana kama unavyomwona hapo...

No comments:

Post a Comment