Friday, July 16, 2010

Kigozi ndani ya Bongo


Huyo jamaa hapo ndio mkali wakusokota Dred balani Africa,jamaa alikuwa akisokota Dred pande za Kingstone Jamaica,kwa sasa katua ndani ya Bongo na yupo kikazi zaidi,jamaa anapatikana A.A.A Berbar Shop Mbezi Beach Tanki Bovu,na kama kawaida Bongo Ink ilimkalibisha Bongo kwakumtupia Tattoo 1 mbaratata sana kama unavyomwana hapo.

No comments:

Post a Comment