Tuesday, August 17, 2010

B I FLAVA

Kwa wakali wote wa kuchana huu ndio wakati wenu,BONGO INK inatoa nafasi ya kupandisha(kuirusha)mistari yako kwenye blog bila malipo yoyote kwa makali wote wa mistari,chakufanya tuma michano(mistari)inayoeleweka na picha yako kwenye emal hii BONGOINK88@YAHOO.COM kama kawa michono hiyo igusie kidogo kazi za bongo ink na kama kawa kama dawa tutaipandisha fasta,Shukrani sana.................NO STROMO

No comments:

Post a Comment