
lengo lilikua kuutoa mchoro uliekua ukimkera sana mchizi,Bongo Ink ilimtengeneza jamaa bila kukosea,step one alichagua mchoro anayeotaka bila kubugy nikaupandisha mchoro kwa kuudesign mchoro mpya kabisa, hapo ukiwa upo kwenye skech,mwanzo ulikua hivi
No comments:
Post a Comment