Wednesday, August 11, 2010

TANKI BOVU MPYA




Nilivyorudi safafi nilikuta mabadiliko makubwa sana pande za Home TANKI BOVU(mbezi beach)niliwafumania ESTIM CONSTRUCTION wakimalizia kwa kuiremba na ROAD MARKING SIGN,jamaa wamepiga kazi nzuri sana wakiongozwa na MIRO,sasa hivi wakazi wa TB tumeshaanza kusahau tabu za matope na vumbi SHUKRANI sana kwao,sasa nijukumu letu sisi watumiji wa Road hiyo kuitunza au vp jamani?

No comments:

Post a Comment