Friday, September 17, 2010

B I FLAVA


I free style kama Bongo Ink underground
Nazisaka sana hizo Dollar mpaka Pound
Dantecy najikita kwa nyengine Round
Hustle toka moyoni sikati tama kama Nyandu nipo ulingoni
A.A.A,Bongo Ink on linekiroho safi ata Fahmy anabaini
Si ndo wakali wa matattooz chek na Bongo Ink uone full maujuzi
Tunakaza hatuluzi
Pale kwenye kosa tunasema exchuzz
We tanx you Father of heaven
Tunasaka hela 24 seven
Tattoo zetu nzuri hote Fashion
We da best AIMEN

No comments:

Post a Comment