Wednesday, September 22, 2010

BONGO INK YAZIDI KUKANDAMIZA




Jamaa alitimba Bongo Ink na wazo lake la kutupia kitu cha Mnyama kwa mkono na bila kukosea Fahmy Tattoo Artist akufanya kosa alikaa chini na kutengeneza kitu kikali sana na kukitupia fasta kama unavyokicheda hapo...na nikakimalizia kwa kukiwekea dawa wazeiiyaaahhh Bongo INK tunawajali sana na zaidi

No comments:

Post a Comment