

Jioni flani hivi jana tulitembewewa na dogo flani hivi Hammer alinifurahisha sana kwa jinsi alivyokua anajiamini,dogo alikuja akataka anyolewe KIJOGOO aisee dogo alikua anajielezea nakumwelekeza kinyozi anavyotaka hata mtu mzima nyuma, dogo alikua anajiamini sana na alinivutia kwa hilo ikanibidi nimuulize ana umri gani sikuamini alivyonijibu dogo aliniambia anamiaka 8 tu na yupo darasa la 4 tu,and they way he was acting na anavyojitune nikama mtu mwenye umri wamiaka 18 au zaidi…ama kweli motto wa nyoka ni nyoka jamani kuja kujua sasa kumbe huyu ni motto wa Hashim lundenga mdau mkuu wa MISS TANZANIA,dogo Hammer ama kweli kafwata kujiamini na kujua anataka nini kama BABA yake sana Hammer ndogo wetu mwenyezi mungu akukuze zaidi na kesho ujekua mmoja kati ya wale watakaolisukuma Taifa letu AMIN
No comments:
Post a Comment