Monday, September 6, 2010

SMALL ONE







Mishale ya mchana hivi nikiwa na kigozi na wadau wa Bongo Ink tukipiga story za hapa na pale huku tukibadilishana mawazo hivi aliibuka jamaa mmoja na kaidea chake chakuweka katone kadogo kwenye kiganja chake kama kawa nilisimamisha maongezi fasta nikamtupia jamaa katone hako mnavyokaona hapo kadogo sema kamewaka ile mbaya au mnakaonaje wadau?

No comments:

Post a Comment