Friday, July 30, 2010

Kazi ya Bongo Ink


Jana midamida ya mchana nilitembelewa na wadada kutoka pande za St.merry,Hawakuondoka hivihivi Lim aliondoka kwa kujitopia Tattoo mmoja kama unavyoiona hapo,akiwa na wenzake amengaaa.....

1 comment:

  1. wow! nyce tatoo! umetisha mchumba umeng'aa kwel...big up kw bongo-ink.

    ReplyDelete