Wednesday, September 29, 2010

CROSS WINGS







Mkali huyo naye pia alikuja na wazo lake lakuweka Cross ikiwa na wings kwa nyuma mkononi bila utata kazi ilifanyika,nilianza na skech kama kawaida nikaianza kwa kuiwepanch with linezz zilizoshoba na mwesho nikakandamiza misheddig yakutosha tuu kama unavyoiona hapo,KITU HAPO BADO KIBICHIIIIIIIIII huo mchoro niliuanza kuuchora kwenye mida ya saa 6 mchna hivi na ulimalizika kwenye mida ya saa 7 na nusu hivi,ila kuna kipindi tulisimama kuchorana tulisikia makelele njee tukatoka na UMBEA wetu bana kulikua na AJALI YA PIKIPIKI NA BUSS nitawamegea yaliojili kwenye minewzzz ya B I,Anywayzzz KAKA KARIBUsana tena sana Man NO STROMO………

No comments:

Post a Comment