Wednesday, October 6, 2010

ANGEL WITH PSALMS'




Juma nne ya leo asubuhi kwenye mida ya saa 5 asubuhi tulitembelewa na mwanadada kutoka pande za hapa hapa Tanki Bovu(mbezi Beach)na lengo lake alikua anataka kujisusia kitu cha Angel na Psalms’ ,Fulani kwa mgongo niliuandaa mchoro tukaanza ukuchorana kwenye mida ya saa 6 flani hivi na kumaliza kwenye ki7 na 45 hivi,mchoro niliumaliza kwa shedding na kuuprotect kama kawaida na Tattoo H20CEAN kama kawa kama dawa…….kwa leo ni hayo tu wapenzi wa Bongo Ink No StRoMo……………

No comments:

Post a Comment