Monday, September 27, 2010

HOW TO TREAT YOUR TATTOO

Sasa unayo fresh Tattoo, na unataka kuchukua uangalizi mzuri,kwanza unatakiwa kujua, Tattoo Artist is not responsible for any infection or problems you may have with your tattoo if you won’t take proper care of it.ni muhimu sana kama ukiwa na fresh tattoo na ukafuata maelekezo haya.A really beautiful Tatoo can turn into a disaster if the proper aftercare is not taken.
Leave The Bandage Alone!
Tattoo artist anachukua tahadhari kwa kufunika Tattoo yako kwa sababu muhimu, lengo lake kuzuia Airborn bacteria kuingia kwenye kidonda chako,Yes, as pretty as your new Tattoo is,but it is still a wound.kuiacha wazi nikuisababishia Tattoo yako kupata Infection na kuingia kwa Bacteria.leave the bandage for a minimum of two hours.msisimko wa kuwa na Tattoo mpya unaweza kukufanya uitoe bandage ili uweze kuwaonyesha rafiki zako,itawabidi rafiki zako wasubiri mpaka baadaye.
Wash and Treat
Baada ya kuiondoa bandage yako,itakubidi kuisafishe Tattoo yako.tumia maji ya vuguvugu na masafi chan’ganya maji hayo na any Antibacteria soap kama Detol au Antibacteria soap yoyote ilimradi iwe Antibacteria soap.(Generic brand antibacterial soaps are actually better)anza kuisafisha polepole na utoe majimaji yalioganda na chembechembe za damu tena kwa uwan’galifu zaidi usitumie kitambaa kusafishia wala aina yoyote ya kitu zaidi ya Mkono wako.Your Hand is the best tool in this case.(kama Tattoo yako itakua na utelezi utelezi basi hakikisha unauondoa ute huo kwa kusafisha polepole na vidole vyako)na uiache ikauke, tattoo inahitaji hewa baada ya kuisafisha,lakini usikae kwenye jua Tattoo are sensitive to sunlight.
Specialty Products and Lotions
Itakubidi ufuate maelekezo ya Tattoo Artist,dawa na mafuta yatayofaa kupaka kwenye Tattoo yako atakueleza yeye na inategemeana na Tattoo Artist mwenyewe ameona yapi yanafaa(mimi nashauri mtu atumie Tattoo Goo au H2Ocean ni product nzuri sana kwa Tattoo na uitumie kwa siku 3 hadi 5 pia Mafuta mazito yanafaa au Lotion ambayo haitakua na chemical yoyote,Do not use Neoporin.This is a wonderfull product for cuts and scrapes,but not for Tattoos.watu wengine hupata Allegic reaction kwa dawa hiyo na kusababisha vialama vyekundu na vikishapona na kupotea pia wino hutoka na kusababisha Tattoo yako kuaribika.
Baada ya hapo endelea kuiweka Tattoo yako katika hali ya usafi huku ukiendelea kuipakaza Mafuta au Lotion ili kuifanya ngozi iwe kavu .Whatever lotion you use,it should be Dye and Fragrace free.
Batring,Showering,Hot Tubs,and Swimming
Ndio unaweza kuimwagia maji Tattoo yako lakini isitote maji kwa ushauri nashauri usiiwekee maji Tattoo yako mara zote iwe dry muda wote kwa muda wa week 2-3,sio usioge,oga kama kawaida ila unatakiwa kuwa mwangalifu sana maji yasiingie au sabuni katika Tattoo yako,kama kwa bahati mbaya Maji au Sabuni itakua imeingia chukua kitambaa kisafi na upakaushe polepole pakishakauka paka Mafuta mazito au Lotion.
Scabbing and Peeling
Siku chache baada ya week 2-3 utaanza kuhisi Tattoo yako inakuwasha usiikune endelea kuipaka Mafuta mazito au Lotion ikizidi kuwasha ipigepige makofi na mara nyingi ukiona hali hiyo Tattoo inaashiria kupona,endelea kupaka Mafuta au Lotion mpaka ibanduke n’gozi ya juu(gamba)usiibandue isubiri yenyewe itatoka,ikiwa tayari imekwisha banduka yote chukua Maji ya vuguvugu na Detol isafishe na mkono tu na Tattoo yako itakua amepona salama hapo itakua ipo poa kuiuzia sura bila kuogopa kuifanya iendelee kun’gaa na kupendeza zaidi nakushauri usiache kupakaza Mafuta mazito au Lotion kila utakapo kua umetoka kuoga,kwa leo ni hayo tu!

No comments:

Post a Comment