Monday, September 27, 2010

AJALI TENA
















Kama nilivyokudokeza hapo huu nikiwa naendelea kumchora jamaa Cross tulisikia kelele njee tulitoka Fasta na tulioyaona ilikua ni AJALI ya Pikipiki na Buss,sikuweza kujua nani alikua anamakosa ila nilishuhudia jamaa aliekua anaendesha Pikipiki akiwataka jamaa wa kwenye Buss wamlipe Taa waliomvunjia,ilifikia wakati jamaa hao walishikana mashati na kupigana Mashahidi waliwazuiya wasipigane lakini ngumi mbili tatu hivi walitupiana kama ulivyoona hapo juu hapo na kusema za ukweli jamaa walionyesha wote wamelewa,JAMANI WATUMIA BARABARA HII MPYA YA TANKI BOVU KUWENI MAKINI SANA NAMATUMIZI YA BARABARA IMESHAANZA KUWA KERO SASA,kwaleo nihayo tuu Camera ya B I imekunasia……

No comments:

Post a Comment