Monday, September 27, 2010

TRIBAL BUTTERFLY




Tribal Tattoo humpendeza mtu yoyote huwa haichagui mara nyingi hutegemeana na nini mtu anataka kuweka,leo mida ya Asubuhi nilitembelewa na mwanadada kutoka pande za masaki na alikuja na Idea yake ya kujidondoshea Tribal ya Butterfly kwa Bega,nilikaa Chini nakufikiria fasta nini kitamfaa mwanadada huyu nikaporomoka na Tribal Butterfly moja matata sana kama unavyoiona hapo ikiwa imekwesha malizika kutupiwa ,kazi hiyo ilinichukua kama Dakika 30 hivi galzzzz Bongo Ink inaplatsss za michoro yenu karibuni sana kwa Pall and we will design same thing nice 4 yaaahh!

No comments:

Post a Comment