Monday, September 27, 2010

RAFIKI EVERY WEA USO KWA USO NA BONGO INK




Weekend hii nilialikwa RAFIKI EVERY WEA na kama mnavyonijua bana hua siachi mikoba yangu nilitoka Bongo Ink(MBEZI TANKI BOVU)nikiwa full mpaka mitaa ya Sinza (kwa Lemi) kwenye workshop ya Ramzz mwanamitindo(mbunifu wa mavazi)hatukuuweka sana tulivyomaliza mishemishe zote,Jamaa akaniuliza upo FULL hapo nacopy matamsh yake (ebwana Fahmy nataka Tribal yaukeli sana lakini iwe ina Ega hivi)jamaa alikua na idea yake yakuweka hiyo Tribal ya Ego na mimi sikupoteza muda nikauskech fasta nikaanza kumpanch jamaa skine tulianza kama saa 12 jioni flani hivi mpaka kwenye mida ya kimmoja hivi nilikua mimekwishaimaliza na shedding za kutosha tu kama unavyoiona hapo kitu ndo kimetoka kupanchwa hapo ikina ata Dakika 5 hapo toka kimemalizika...Rams karibu tena kaka PAMORE SANA NO STOMO…….

No comments:

Post a Comment