Monday, October 11, 2010

HOT STARNNER




Kwenye mida ya saa 6 mchana hivi nilitembelewa na mwanadada kutoka pande za miko miko(mikocheni)na alikuja na Idea ya kuweka Starz kwa mguu na Tone 1 ya music sikuchelesha muda nikafanya kazi fasta na MATOKEO ndo hayo Waungwana kitu kinameremeta kama mwali vile ha ha ha ha ha ha ha ha………na wewe unaweza tupia utakacho chakufanya njoo ututembelee Bongo Ink na tutakutengeneza upendavyo KARIBUNI WOTE

No comments:

Post a Comment