




Kila mtu anayechora tattoo anakuwa na sababu yake ya msingi inayomfanya achukue uamuzi huo. Iwe ni kwa ajili ya kuboresha muonekano, kumbukumbu, mapenzi na kadhalika. Utamaduni huu unazidi kukua sana nchini na vijana wengi wametokea kuvutiwa. Kwa nini unachora tattoo?. Ni ushauri wetu ufikirie kwa kina suala hili kabla hujafanya maamuzi yoyote kwa sababu tattoo nyingi huwa hazifutiki na kama zitafutika, basi ni kwa njia ambazo zinagharimu sana na zenye maumivu
No comments:
Post a Comment