Thursday, April 1, 2010

Bongo Ink gets featured in Nirvana



Mchora tattoo wa Bongo Ink, Fahmi, alikuwa mmoja wa wahojiwa kwenye kipindi cha Runinga cha Nirvana kinachorushwa na EATV kila Jumanne saa 1 usiku. Fahmi alitoa knowledge ya jinsi ya kutunza tattoo baada ya kuchora. Hapa akishow love na Hostess wa Nirvana na akiwa amekula pozi na Dick (Field ops). Hey! Where the ***k is Baraka? (deep in the dark zone)

No comments:

Post a Comment