Mkali wa Bongo fleva, Domokaya, naye alipata nafasi ya kuchiwa chata na Bongo Ink. Domokaya na mwenzake Mandojo wamekaa vizuri kwenye nyimbo yao ya Masimango waliyoshirikiana na Maunda Zorro. hapa akishow love na Jay joe wa EATV, mmoja wa supporters wakubwa wa Bongo Ink
No comments:
Post a Comment