

Mmoja kati ya fans wa karibu sana wa Bongo Ink Dj Robby,the one and only Dj matata Bongo jamaa anapiga mzigo ndani ya Club The Joint kila weekends,hapo akiwa anafanya mazoezi mtamboni kwa ajili ya leo usiku..kama vipi tujitupie sote leo Mbezi Beach Tanki bovu @ the Joint Club,tuje tuone milazo ya DJ ROBBY
No comments:
Post a Comment