Friday, July 23, 2010

THE JOINT CLUB DJZ


Wakushoto hapo ni Dj Robby pole kati ni Dj Fillo ambaye nimshindi wa Str8 music 2010 na wakulia hapo ni Dj Ommy ambaye pia ni mshindi namba mbili wa Str8 music Dj Freestyle,wote hawa wanakandamiza mawe ya uhakika ndani ya THE JOINT CLUB..

No comments:

Post a Comment