



Mida mida ya mchana jana nilitembelewa na mwadafada kutoka pande za huko Changombe na alikuja akiwa amechorwa Tattoo lakini hakua imetoka poa na aliemchora alitumia zile zakudungadunga zile kama kawa nilikaa chini nikaitendeneza kitu kilitoka kama hivi,picha ya kwanza ndo ilivyokuwa imekuja na baada yakuitengeneza hizo zilizofwata hapo chini
No comments:
Post a Comment