Wednesday, September 15, 2010

KIGOZI NUSU KAPUTI



Siku mbili kabla ya Eid saa 4 asubuhi hivi mtengeneza dread wa A.A.A Barber Shop Kigozi alishikwa na tumbo sana tulimkimbiza Hospital haraka sana jamaa aligundulika anasumbuliwa na Appendix ambayo ilimsababishia jamaa kuumwa sana na tumbo doctor aliamuru jamaa afanyiwe upasuaji haraka,hatukuwa na njia nyengine zaidi ya hiyo tulikaa kakikao cha uzushi tukafikia muhafaka wa jamaa kupasuliwa tuu,dua ndo zilizokua vichwani kwetu jamaa atoke poa na apone tuzidi kupiga zigo kama kawaida kwenye mida mida ya saa 9 mcana hivi jamaa alipelekwa kwa chimba cha upasuaji na jaliojiri huko yalikua haya hapo chini jamaa hapo akisubiri kupelekwa chumba cha upasuaji……WAZEIYA PICHA ZINAZOKUJA HAPO CHINI NIZAKUTISHA KIMTINDO TUNATOA SAMAHANI KWA HILO

No comments:

Post a Comment